DENTI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA AFARIKI KATIKA AJALI YA DALADALA.MBEYA

Huyu ni marehemu Obadia enzi za uhai wakekatika graduation iliyofanyika UDOM mwaka jana. ambapo alihitimu stashahada.ya.kwanza kitivo cha.sayansi ya jamii . marehemu amefariki juzi katika ajali ya daladala lililogongana na lori wilayani mbarizi mkoani mbeya . mungu ailaze roho ya marehemu Obadia mahala pema peponi amen

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger