"Umekutana na huyo msichana mzuri kama ua, mcheshi, mrembo na
ametulia kwa kila jambo na kwa vyovyote vile nafsi inakusunta inataka
umsogelee, moyo haushi kudunda hujui hata pa kuanzia...!"
Tulikutana na wakufunzi wetu wa waulize wanaume wa sekta ya mapenzi
na kujadili njia zinazofanya kazi na ambazo hazifanyi kazi katika
kumfanya msichana apendezwe nawe kwa mara ya kwanza, hizi hapa ni njia
za kumfanya msichana apendezwe nawe kwa siku ya kwanza...
Punguza spidi ukiwa unatembea...
Punguza spidi ukiwa unatembea...
Ukiwa unaenda uelekeo wake au ukiwa pembeni yake tayari
umeshamsogelea, hakikisha tembe yako iwe taratibu ili uonekane umetulia
na unayejiongoza, hii itamfanya akuone unajiamini na kujiamini ni moja
ya vitu msichana wanavyovutika navyo, fanya haya huku ukimwangalia
machoni bila kukwepesha huku ukitabasamu, hapo ni rahisi kumfanya awe
makini na wewe, ila hakikisha umesimama wima na mabega yako yawe katika
hali ya usawa.
Ongea kwa hali nzuri ukiwa umejipanga...
Ongea kwa hali nzuri ukiwa umejipanga...
Kama unaweza kuongea lugha nyingine ongea, au kama unafani yeyote ni
muda mzuri umwonyeshe, fani au kipaji huwa vina mvuto mkubwa kwa
msichana na kukufanya uonekane wa aina flani ya kupendeza, unatakiwa
uingize mambo haya kwa ujuzi kwenye maongezi ili mradi ugusie vitu hivi
ili usije onekana wa ajabu au unajikuza, kwenye maongezi kuwa na subira
na ingiza mambo hayo katika muda unaohisi unafaa.
Ongea kwa sauti na kwa kujiamini...
Ongea kwa sauti na kwa kujiamini...
Sio uongee kwa nguvu, inatakiwa unaongea kwa sauti ambayo inasikika,
na iwe sauti yako asilia na isiwe inatetemeka, sauti iwe ni ya kujiamini
na isiwe ya kuwa makini sana, iwe nyepesi yenye utulivu isio ya kuhoji,
hakikisha umevuta pumzi mara kadhaa ili kujinga kujiamini kwenye sauti
yako
Hakikisha akili yako yote ipo kwake... Ukiwa nae hakikisha ajione kama yupo mwenyewe pekee kwenye dunia yako, hata kama kuna sahani zimepasuka au msichana mzuri zaidi yake anapita karibu yenu, hakikisha macho yake yote yawe kwake, msikilize anacho ongea na onyesha hamasa kwa anayoyaongea, kumwangalia machoni utamfanya akuzoee haraka.
Mchezee kwa maneno...
Hakikisha akili yako yote ipo kwake... Ukiwa nae hakikisha ajione kama yupo mwenyewe pekee kwenye dunia yako, hata kama kuna sahani zimepasuka au msichana mzuri zaidi yake anapita karibu yenu, hakikisha macho yake yote yawe kwake, msikilize anacho ongea na onyesha hamasa kwa anayoyaongea, kumwangalia machoni utamfanya akuzoee haraka.
Mchezee kwa maneno...
Hisia zako, unaweza sema uende nae taratibu ili upate kumjua, ila huu
ndo wakati wako hivyo usipoutumia vilivyo, huyu ndege anaweza kupaa!,
hakikisha unaanzisha ubishi na tumia maneno ya uchangamfu, unaweza
anzisha ubishi hata kwa wasanii wa nyimbo anazopenda kuzisikiliza, hii
itakufanya akuzoee mapema zaidi na anaweza kujikuta mkajisahau kabisa
kama ndo mmekutana na kwa kutumia ubishi utamfanya afurahie na kucheka
pamoja na kujisikia vizuri na kuhisi yupo katika mazingira aliyoyazoea,
na kujikuta akipendezwa sana nawe.
Mchukua na mpeleke kwenye mgahawa mzuri wa karibu...
Mchukua na mpeleke kwenye mgahawa mzuri wa karibu...
Kama unataka mapigo yake ya moyo yaongezeke na usiishe kwa
kumshangaza, mtoko wa karibu kwenye chakula au nyama choma na kapire ni
jambo zuri unaloweza kufanya, kama anapendelea pili pili, ni vizuri
mkaitumia, pili pili huongeza hamu ya kula na muwasho wa kusababisha
maongezi yanoge zaidi hivyo kusababisha furaha na vicheko kutokukatika,
ikiwezekana agiza chakula mnacho
weza kula kwa pamoja.
Jidhalilishe kwa stori za vichekesho...
Jidhalilishe kwa stori za vichekesho...
Wanawake wanapenda kucheka na stori za hapa na pale, mwadisie kipindi
ambacho ulikutwa na majanga ambayo yanavichekesho ndani yake, stori
kama ulikua pembeni ya bara bara, gari likapita kwa kasi na kukanyaga
maji machafu na kukuta umelowa mwili mzima, mwonyeshe kwake huogopi
kitu, na ukiwa naye unaridhika na unaweza ongea kitu
No comments:
Post a Comment