Kuwa
uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia
just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna
mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina girlfriend?? baada
ya Zitto kumkana Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama queen amtolea
za uso na kutoa moja ya email aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva
huendani na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya
comedy,attention seeker but you know better ila haipendezi punguza Mama:
Email Kutoka kwa Zitoo Kwenda Kwa Diva:
HII NDIO STYLE AMBAYO MWANAMKE UKIMKUNJA ATALIA MPAKA KIKWAO, CHEKI HAPA<<http://mdadisitz.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment