MICHEZO: RADAMEL FALCAO ATUA RASMI MAN UTD



Manchester United imemsajili Radamel Falcao kwa mkopo wa msimu mzima akitokea Monaco, ada pauni 12m na atalipwa pauni 200,000 kwa wiki.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger