Dunia inazidi kuonyesha maajabu kila kukicha kuna jipya litakalo kuacha kinywa wazi. Hili nalo ni jingine tena ambapo mwanamke huko India ameamua kufunga ndoa na mbwa ishara ya kuonesha hana tabu na mwanaume. Tendo hili linadhihirisha kuwa mbwa huyu humtosheleza katika mahitaji yake ya kimapenzi na kingono. Eee Mungu tu nusuru.
Bonyeza hapa kutazama video hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment