Pichani juu na chini mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Mama Abdul akijiachia na kumwaga radhi bila uoga.
Tukio
hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri juzikati, majira ya
mchana kwenye kigodoro mbele ya watoto waliopokea ekaristi takatifu
katika Kanisa la Mtakatifu Monica lililopo maeneo ya Kihonda mkoani
hapa.Mke huyo wa mtu alimwaga ‘lazi’ hizo kwa kushirikiana na mdogo wake wa damu aliyefahamika kwa jina moja la Jacqueline wakati wakimpongeza mtoto wa rafiki yao aliyepokea ekaristi.
“Unajua walikuwa wanatumia kigezo cha ‘ananijua nani pande hizi’ kumbe wanajishushia heshima na shughuli yenyewe ni ya kikanisa,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la aibu.
No comments:
Post a Comment