VITU ANAVYOPENDA KUVIFANYA RECHO WA KIZUNGUZUNGU
Recho alikuwa akizungumza na Victoria FM jana na ndipo alipoulizwa vitu viwili anavyovipenda kwenye maisha yake
Mbali ya muziki ninaofanya ninapenda kupika na mapenzi alisema Mimi nampenda mtu ambaye nampenda mimi, siwezi nikamsema ni mtu gani, nina mchumba, nina mpenzi lakini ni mpenzi wangu yaani boyfriend pia alisema huwa anapenda kufanya mapenzi na bby wake kila week alimalizia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment