PICHA CHA UTUPU ZAZIDI KUPOROMOSHA MAADILI YA KIAFRIKA...!!


Tamaa  ya pesa  imeendelea kuwa kikwazo katika  maisha  yetu  ya kila  siku.......

Matuko  ya  ajabu  yenye  tamaduni  za  nchi  za  magharibi  yameendelea  kuwa kikwazo kikubwa  katika mila na  tamaduni zetu.....


Huyu  ni  binti  aliyefahamika kwa  jina moja la Jackline.Yeye na bahasha  wake inaonesha  hawazitambui thamani na utu wa  mwafrika.....

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger