PICHA: HAYA NDIYO YALIYOTOKEA WAKATI POLISI WAKITOA KICHAPO KIKALI KWA WANAFUNZI WA IFM HUKO KIGAMBONI...!!

Wanafunzi wa Chuo Cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakielekea kupanda Difenda huku wakiangukiana baada ya kupigwa mabomu kwenye kituo cha Pilisi Kigamboni walipofika kulazimishwa kufanya, mkutano na Kamanda Kova mbele ya Kituo hicho badala ya Eneo lililoandaliwa kwenye viwanja vya mpira vya Machava.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger