UNYAMA: VIDEO YA MWANAMKE ALIYEMUUA MUMEWE KWA KUMWAGIA MAJI YA MOTO HUKO MOMBASA...!!

Mwanamume mmoja mjini mombasa amefariki kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na mgogoro wa kinyumbani kati yake na mkewe. 

Inadaiwa marehemu alimwagiwa maji moto na mkewe siku chache zilizopita hali ambayo imepelekea kifo chake.

 Ilibidi polisi kuingilia kati kumnusuru mama huyo dhidi ya hasira za umati uliotaka kumshambulia na  kumuua..
ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPA

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger