skip to main |
skip to sidebar
WASANII WA INJILI SASA WANAVAA SKIN JEANS JUKWAANI, MUONE HUYU HAPA
usemi usemao yafate niyafundishayo na siyo niyatendayo umezidi kushika kasi kila kukicha miongoni mwa wasanii wa nyimbo za injili....hivi karibuni msanii maarufu wa nyimbo za injili nchini kenya alitoa mpya baada ya kuvalia kinguo cha aibu ambacho hata angevaa msanii wa nyimbo za kidume stejini tungemshangaa
hizo ndizo picha zake akiwa kazini akiwapagawish fans wake
No comments:
Post a Comment