VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu
kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema
kuwa ana mtu wake.
Agnes Gerald Waya ‘Masogange’.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu
atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu,
wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho
hakubaliani nacho. “Sitaki
kutongozwa kabisa, waniache. Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi
wanatambua kabisa nina mchumba wangu (Evance), watu wengine sijui
wapoje!” alisema Masogange.
No comments:
Post a Comment