Showing posts with label MASOGANGE. Show all posts
Showing posts with label MASOGANGE. Show all posts
HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA MWANADADA MREMBO AGNESS MASOGANGE.

Jokate atupia picha mitandao ya kijamii akiwa anataka kuliwa uroda, angalia mwenyewe alichofanyiwa hapa===>>http://mdadisitz.blogspot.com/2014/09/laana-jokate-atupia-picha-mitandaoni.html
AGNES MASOGANGE ATANGAZIWA NDOA SOUTH AFRIKA, SOMA ZAIDI HAPA
Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana.
Modo Agnes Masogange.
Read more >>
Modo Agnes Masogange.
Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi.
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi.
HIVI UNAJUA KITU KINGINE KILICHOMTOKEA AGNESS MASONGANGE NDANI YA UWANJA WA NDEGE..? SOMA ZAIDI HAPA

Video model Agnes Masogange mwaka jana alitawala vyombo vya habari baada ya kukamatwa na polisi huko South Africa akiwa na mwenzake Melisa Edward wakiwa na mzigo wa Crystal Methamphetamine wenye thamani ya Tsh bilioni 6.8.
Taarifa mpya kutoka kwa kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya Gedfrey Nzowa inasema kikosi hicho kilimshikilia Masogange usiku wa juzi baada ya kurejea akitokea South Africa. Taarifa inasema kwamba Masogange alihojiwa kwa zaidi ya masaa 10 na kupekuliwa na baadae kuachiwa hutu bila masharti.
Masogange alivyotafutwa kwenye simu alijibu kwa kifupi na kusema,”Hilo unalosema siyo kweli na sipo tayari kuzungumzia. Siwezi kuzungumza na chombo cha habari kwa sasa, shida yako nini”.
Source : Mwananchi
HIVI KUNA NINI HADI UWOYA NA MASOGANGE WANAISHI PAMOJA SOUTH
KUMBE MASOGANGE KAKIMBILIA AFRIKA KUSINI KUKWEPA SKENDO CHAFU ZINAZOMUANDAMA, SOMA ZAIDI HAPA
Rafiki yake wa karibu aitwaje
Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Agness Ameenda huko ili
kutulia kwasababu hapa Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa Vidole
kitu ambacho alikuwa akipendi kabisa...Si kweli amepata Maisha mazuri
kama alivyosema....
MASOGANGE AENDA SAUZI KWA AJILI YA KUTAFUTA MAISHA
VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’
amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha.
Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini
humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania
atakuwa anakuja kutembea tu.
“Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy o maisha yangu yalipo na mipango mingi ya kimaisha nafanikiwa ninapokuwa huku,” alisema Masogange.
Read more >>
“Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy o maisha yangu yalipo na mipango mingi ya kimaisha nafanikiwa ninapokuwa huku,” alisema Masogange.
AGNESS MASOGANGE APOST PICHA 3 ZA RAFIKI YAKE WA KIKE AKIWA NA KICHUP TU, VITOVU NJE NJE, JIONEE HAPA
Dada yetu Agnes Masogange leo kupitia mtandao wa #INSTAGRAM
ameweka picha zake akiwa na rafiki yake ambaye 
kwa mujibu wa comments za Followers wa Masogange ni kwamba analaumiwa kwa kama amemchoresha hivi rafiki yake kwani yeye Masogange
ameweka picha zake akiwa na rafiki yake ambaye 
kwa mujibu wa comments za Followers wa Masogange ni kwamba analaumiwa kwa kama amemchoresha hivi rafiki yake kwani yeye Masogange
SKENDO MADAWA YA KULEVYA YAMSHIKISHA ADABU MASOGANGE, SASA AWA MPOLE
VIDEO Queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amekuwa makini
na kusafiri kwa tahadhari kubwa baada ya kunusurika kwenye msala wa
madawa yaliyodaiwa kuwa ni ya kulevya nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ mwaka
jana.
Masogange alisema kwa sasa akipewa begi na mtu yeyote lazima alikague kwani hakufanya hivyo alivyokamatwa awali.
“Nimekoma kwa sasa mtu hawezi kunipa begi halafu nikamsaidia bila kulikagua, nasachi mara mbilimbili,” alisema Masogange.

LIONE POZI LA MASOGANGE, MWANAUME UTATA
PICHA mpya ya ‘video queen’ matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ na
mwanaume mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, imezua utata
kutokana na ukaribu wao.
Picha hiyo ilitupiwa katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita huku a na maneno kuwa wawili hao åç wapendanao hali iliyosababisha wadau wengi kupongeza kuwa ni kapo nzuri.
“Mh!
Kapo nzuri jamani, atulie sasa hapa Masogange,” mmoja wa wachangiaji
alipongeza. Alipotafutwa Masogange kwa njia ya simu, hakupokea! Jitihada
zinaendelea kuondoa utata huo.

MASOGANGE AWAJIA JUU WANAUME, SOMA KUJUA ZAIDI
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu
kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema
kuwa ana mtu wake.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho hakubaliani nacho.
“Sitaki
kutongozwa kabisa, waniache. Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi
wanatambua kabisa nina mchumba wangu (Evance), watu wengine sijui
wapoje!” alisema Masogange.

AGNESS MASOGANGE AJIBU ,NI BAADA YA TAARIFA KUSAMBAA MITANDAONI KUHUSU KUKAMATWA NA MADAWA SOUTH AFRIKA
Baada ya habari za kukamatwa kwa mtanzania Agness Gerald na Melisa Edward, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya "Godfrey Nzowa". Agness Jerald ambae wengi wanahisi ni Aggy Masogange ambae pia yuko nchini South Africa mpaka dakika hii, (ambapo haijajulikana kama ni yeye kweli) ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya kutangazwa kwa habari hizo.
masaa matatu yaliyopita Aggy alipost picha hii hapo chini
jessolomon@renatusleonard naomba nijuze kunani??
tarinawhtIn my prayers doll,fanya yko darling let them talk?@aggnesfineassgirl
carlozvellaWataongea sana ila yako yanafika utakapoooo
aggnesfineassgirlHahahah si umeitwaa unagoma bby @mattynemo
aggnesfineassgirl@wemalicious hahahaha bby usiniuee uwiiiiii
aggnesfineassgirl@minashabani nipo sauzi
carlozvellaAchana nao RESPECT KWAKO @aggnesfineassgirl
aggnesfineassgirl@chaggabarbie ????????????????
albertmgangajrAkili za wabongo bhana,achen unafiki jaman!!!wait n see
asmakarimPole no kweli umekatwa dear
hasnajalangoMh muulize wewe maana kang'ang'ana keshasema keshasema......amesea wapi nini ama udaku 2...@jessolomon
msafirijoab123Daaaaaaa wambea wanyamaze kabsa@aggnesfineassgirl
shinda2013Everybody can update the pics..
mattynemoNakuja soon... ngoja too mizigo iishe dar panachosha...@aggnesfineassgirl
minashabaniMumy nimekuwazia mengi nakukusikitikia sana@aggnesfineassgirl mwenyezi mungu akusaidi kama nikweli upo pouwa na afute hizi husda za midomo yawatu waliyo kuchuria mumy wangu
mariyumiisaidOhghogh***
leahna1112Pole sana mumyto kwanini wanakusingizia hivyo? Pls ukirudi wafungulie kesi haiwezekani wakuchafulie Jina kiasi hichi
achunbaaSasa hawa watu wanazusha maneno ya kisenge manake nn lkn
wolpergambenipgie ma bby plz @aggnesfineassgirl
aggnesfineassgirlSawa bby @wolpergambe
mpolesam@wolpergambe akupigii ngoo sababu sio yeye na ukimwambia ukweli anakublock ni mumewe anawazuga watu wanyamaze
nishabebee88Tunasemaga BUH BUH BUH likimpata mtuu timua vumbiiiiiii BUHHHHHHHHHHHH .. love u bby boo
salmakbarbinadamu haswa watz tumezoea kuona wenzetu wasiendelee wakuache mumy wng @aggnesfineassgirl , miss kisses
zhussein777hata ingekuwa kweli its non pipoz bussnes .... unatafuta zako huwa tafutii wao kula zako maisha @aggnesfineassgirl
tarinawhtAm hapi????????????,watasonyajeeeeee!!do ur thing hun achana na wazushi Kama nawaona hii hii ???????? dats y I lov u@aggnesfineassgirl
mamyluqMimi midomo yangu bado iko wazi uku kungekuwa na nzi ningemeza nzi nilivyoshaangaa wabongo tumefikia apa mtu anaropoka tu duuu pole mdada ila du
Subscribe to:
Posts (Atom)