Akipiga
stori na paparazi wetu, Mainda alisema hata akifuatwa na mtu mwenye
fedha nyingi kutaka uhusiano naye, hawezi kumkubalia kwani anachotaka
sasa hivi ni ndoa tu.
“Kwa
sasa mpenzi wangu ni Yesu na kutokana na yeye mume wangu nimeshamuona
kwenye maono…yulee anapiga hodi sura yake,” alisema Mainda.

No comments:
Post a Comment