Hii ni kuonyesha kwamba wanaume hawana maana na wanawake wasiokuwa na heshima wala adabu katika jamii wameaona kusagana ndio habari ya mjini. Nawaasa sana wanawake kuwa ipo siku tutakuja kuulizwa na Mwenyezi Mungu, kwa hiyo tubadilikeni jamani
usisahau kulike page yetu mpya kwa kupata mikasa, vichekesho, habari za afya na mambo mbalimbali bofya hapa<<BONGO>>
No comments:
Post a Comment