
JOKATE: ANASIFIKA KWA KUTOSUMBUA WAKATI AKIWA LOCATION KUPIGA PICHA ZA UMODO
hakika jokate ni modo wa ukweli africa na east africa kwa ujumla hivi
karibuni tumefanikiwa kupata picha zake kali ambazo amewahi kupiga
katika majalida mbali mbali, pia madirecta wamekuwa wakimsifia kwamba
katika modo tz ambao hawasumbui katika swala zima la kuweka pozi
anazoelekezwa na kamera man


Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment