
Jana May 28 kupitia You heard ya XXL
Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji
toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha
uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana
uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya.
Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela
ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli
ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua
uhusiano wao umekuepo toka lini?
Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa
mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi
yao jibu kutoka kwa Irene likawa ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’
No comments:
Post a Comment