MASTAA
wetu Bongo ukimtokea ghafla na ukataka kumpiga picha bila kujiremba
unaweza kumuua kwa hofu, siku za karibuni kamera ya FC ilimkosesha raha
nyota wa filamu Swahiliwood Kajala Masanja pale alipokutana na mpiga
picha wetu na kutaka kumpiga picha kama sehemu ya kumbukumbu katika
matukio, msanii huyo alizuia huku akilalamika. .

![]() |
| Kajala akiwa mtaani akimzuia mpiga picha mahiri wa FC ambaye hayupo pichani, hataki kupigwa picha hajajiandaa kujipiga Make up kuchagua pamba kali. |
“Aaah sitaki jamanii unanipigaji picha hivi hata sijajiandaa jamani, nipo rafu sipendi ukipiga picha angalau uwe smart, usinipige picha sitaki sitaki sijajiandaa picha zitakuwa mbaya please usifanye hivyo,”anasema.
Utafiti unaonyesha kuwa mara nyingi nyota wa filamu wamejenga tabia ya kujiandaa kwa kujipodoa wakiwa wapo location au wakifanya mahojiano na wanahabari, hivyo kuwa na muonekano tofauti na wanavyokuwa na isha ya kawaida wakiwa katika mishemishe zao

No comments:
Post a Comment