Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa
hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao,
huku nyuma ushosti
wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza
unapamba moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo,
ushostito wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na
Kajala.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment