Sitaki tena....Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kauli ya nyota wa filamu za kibongo Mirium Jolwa "Jini Kabula" ambaye amedai kuwa kwa sasa hataki kusikia mapenzi ya pesa na kama kuna mwanaume anayemtaka basi amfuate nyumbani na si kuitana baa.....
Kabula
alisema kuwa wanaume wengi wamekuwa na tabia ya kuitana baa
huku wakihisi kuwa kila mwanamke ni mlevi kutokana na tabia
ya baadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakijirahisisha kwa kupewa
pombe...
No comments:
Post a Comment