Presenter maarufu kwa kipindi cha ala za roho cha clouds Fm, maarufu kam
Diva, ambaye hivi juzi kati alifunguka na kukiri kuzama katika penzi
zito na msanii mkongwe wa muziki huu wa bongo fleva, amefunguka tena ila
hii ya sasa na kuchanganywa na msanii mchanga aitwaye mo music kwa
wimbo wake maarufu uitwao basi nenda, Mo music amezidi kumchanganya
presenter huyo hadi kufunguka na kusema haya”Ukizungumzia Suparstaa mpya
Tanzania aliebeba Nyimbo Ya Taifa la Tanzania inaitwa Basi nenda basi
@momusic1 @momusic1 ndio Alieimba basi nenda .. sawa nenda , nami
nitaudang’anya Moyo utatulia … basi mwenzenu Kutwa mara tatu yaan
nauskiza asubuhi nikiamka, mchana lunch time na Dinner ….. ”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment