Huyu
alikua muanzilishi haswaa wa Afro-beat.Alikua Star wa kimataifa kutoka
Nigeria aliyeenda chuo huko Los Angeles , Marekani kusomea udaktari
akajikuta anaingia kwenye muziki. Kuti alifariki tarehe 3 ,August 1997
huku akiwa ni mwanaharaki mkubwa wa ukimwi na waziri wa afya wa
zamani.Watu zaidi ya millioni moja walihudhuria msiba wake.
Rock Hudson
Rock alikua ni mchekeshaji wa miaka ya zamani na kifo chake cha Oct. 2,
1986 ndio kilishtua wengi kuhusu Ukimwi.Hapa ndipo rafiki yake na star
mwenzake Elizabeth Taylor alipoamua kutumia maisha yake yote yaliyobaki
kufanya research kuhusu ukimwi.
Freddie Mercury
Alikua mmoja kati ya waimbaji wa bendi maarufu kabisa duniani miaka ya
80 hadi 90, Queen. Mercury alikufa akiwa na miaka 45 ilikua november 24
mwaka 1991. Siku chache kabla hajafa Mercury aliamua kujitangaza kwamba
ni muathirika wa ukimwi.
Arthur Ashe
Huyu alikua ni mcheza tennis maarufu sana duniani. Alipata ukimwi sio
kwa njia ya kujamiiana kama unavyofikiria bali ni kwa kuchangia damu.
Arthur alikufa akiwa na miaka 49, February 6 mwaka 1993.
Eric “Eazy-E” Wright
Alikua kwenye kundi la Rap lililoitwa N.W.A. ambapo alikua pamoja
na Ice Cube and Dr. Dre.Waliuza mamilioni ya albums marekani hadi hapo
March 26 mwaka 1995 Eazy-E alipofariki kwa Ukimwi.
Kwa Bongo uwazi wa gonjwa hili bado haujawa mkubwa na kuna baadhi ya
watu maarufu wameondoka kwa gonjwa hili lakini hakuna taarifa
zozote.BAKI NJIA KUU OGOPA MICHEPUKO !!!
No comments:
Post a Comment