MWANAMKE AJIACHIA 'UCHI WA MNYAMA MBELE YA WACHEZAJI WA ENGLAND, ANGALIA HAPA ILIVYOKUWA


BALAA GANI HILI: MWANAMKE AKIWA UCHI KWENYE HOTEL AMBAYO ENGLAND WAMEWEKA KAMBI MJINI RIO


HUKU England ikihitaji ushindi katika mechi dhidi ya Uruguay Alhamisi kufufua matumaini ya kusonga mbele Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia, vishawishi vimeanza kuivamia kambi yao.

Mwanamke mmoja alinaswa akiwa 'uchi wa mnyama' nje ya chumba kwenye hoteli ya Royal Tulip, ambayo England wameweka kambi.  Lakini hilo lilitokea wakati wachezaji wa England wamekwenda mazoezini milim a ya Sugarloaf mjini Rio de Janeiro.


Look out: The woman admires the view from the balcony at the Royal Tulip hotel
Mitego: Mwanamke akiangalia nje chini kutoka ghorofani katika hotel ya Royal Tulip


Cover up: Maybe next time she should get dressed inside
Sasa ndiyo anavaa akiwa nje

Team talk: England's Raheem Sterling and Wayne Rooney at the team hotel on Monday
Wachezaji wa England, Raheem Sterling na Wayne Rooney wakiwa kwenye hotel yao Jumatatu

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger