Msanii
Nguza Viking anayetumikia Kifungo chake Gerezani akiwa na Bendi ya
Wafungwa(anayepiga gitaa) akiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa
Wafungwa unavyofanyika Magerezani(wa pili kulia) ni Jonson Nguza Maarufu
kwa jina la Papii Kocha wakitumbuiza
katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika
Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment