skip to main |
skip to sidebar
WAFAHAMU BIFU LA WEMA NA JOKATE LILIPOFIKIA, BASI UKWELI WOTE HUU HAPA
Kama mnavyojua tena mashosti hawa hapo awali walikuwa katika BIFU la
kuchukuliana bwana ambae ni Diamond....Hii ilitokea baada ya Wema
kumshutumu Jokate kutembea na mpenzi wake Diamond
(Kabla Wema hajapigwa chini na Diamond)..
Katika hali isiyotegemewa
wawili hawa kumbe hawana tena kinyongo..na wapo SAWA.....Hehehhee...Hii
imejidihilisha wazi hapo jana baaba ya Wema Ku-comment kwenye picha ya
Jokate huko INSTAGRAM...Soma comment hiyo hapo juu..then utajuani nini
hasa namaanisha..
No comments:
Post a Comment