kawaida
wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika
ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali
inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo”
hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.
Natambua
kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile
kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya
mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja
hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa
jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko
mmoja.
Lakini
kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue
hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule wa
kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu ambao ni
wa kisimini.
No comments:
Post a Comment