ADAMU MCHOMVU AACHA KAZI, HII NI BAADA YA TIMBWILI LA JANA LILILOTOKEA STUDIO

BAADA YA KUTOKEA  UGOMVI MKUBWA JANA STUDIO KATI YAKE NA DJ FETTY ,LEO HII KATIKA MTANDAO WAKE  WA INSTAGRAM ADAM MCHOMVU AMEWEKA PICHA
IKIONYESHA KADI NYEKUNDU INAYO ASHIRIA NI KAMA AMEACHISHWA KAZI KUTOKANA NA MATUMIZI YA HIYO KADI KATIKA UWANJA WA MPIRA..
ILA ENDELEENI KUWA NASI KWA TAARIFA ZAIDI JUU YA TUKIO HILI LA AJABU KWA WATANGAZAJI 



No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger