skip to main |
skip to sidebar
HIVI KUNA NINI HADI UWOYA NA MASOGANGE WANAISHI PAMOJA SOUTH
Hili
ni swala la kujiuliza...ingawa hadi sasa Uwoya hajasema
chochote...Lakini Masogange kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM amekuwa
akiweka picha kadhaa za Irene Uwoya wakiwa pamoja huko SAUZI....Sasa
katika kumaliza zaidi jana ameka video Irene akiwa anapika....HEHEHEHE
No comments:
Post a Comment