Mama Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye.
MAMA: DIAMOND HAWATAKI ILA WANAJITONGOZESHA WENYEWE, WENGINE WANANITUMIA HADI PICHA ZA UTUPU
MAMA mzazi wa nyota wa muziki wa kizazi kipya,
Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ amesema baadhi ya
wasichana wanajitongozesha kwa mwanaye kwa kuwa ni mtu maarufu.
Mama Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye.
Mama mzazi wa msanii nyota wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ akitafakari jambo.
“Napata shida kwa kweli, wasichana wanajitongozesha kwa kupitia namba
yangu ya simu, mtu anakupigia anamuulizia Diamond na wengine ndiyo
wanatuma hadi picha za utupu kwa kutumia hii mitandao ya kijamii wenyewe
wanasema,” alisema.
Mama Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment