MWANAUME KAMA HUJUI KUTUNZA.... LAZIMA MPENZI WAKO ALIWE NA WAJANJA TUUUUUUU!!!! SOMA HAPA KUJUA MBINU ZA KUMDHIBITI.




 Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,  Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata
mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa,  Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo.  Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando?  Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana Unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu Badilikeni basi.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger