Mtangazaji
wa 93.7 EFM Radio, Penny Mungilwa , ameposti picha kwenye ukurasa wake
wa Instagram akiwa na pete inayosemekana amevishwa na mchumba wake mpya
siku za hivi karibuni, ingawa bado yeye mwenyewe hajaweka wazi
kuhusiana na jambo hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment