Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita nyumbani kwa mwigizaji Aunt Ezekiel kulipokuwa na sherehe ya mtoto kutimiza siku arobaini tangu kuzaliwa ambapo staa huyo alidaiwa kufanya hivyo akiwa na ‘akili za usiku’.
“Mh! Nimejikuta naingia uwanjani moja kwa moja kwani ngoma ilinishawishi aisee nimecheza kinoma,” alisema Shija kwa lafudhi ya kukatakata maneno.

No comments:
Post a Comment