Showing posts with label AY. Show all posts
Showing posts with label AY. Show all posts

HAYA NDIO MANENO YA AY YA HIZI PICHA ALIZOPIGA AKIWA MAREKANI

6 
A.Y tayari ameshafika Marekani na wameanza kwa kukutana na Wafanyakazi wa ofisi ya Rais Barack Obama ambapo msafara huo wa wasanii wa Afrika umepata nafasi ya kuzunguka sehemu mbalimbali ndani ya White House ikiwemo ofisi ya Obama inayoitwa Oval.
Huu msafara wa wasanii kutoka Africa unajumuisha Femi Kuti, D Banj wa Nigeria, Victoria Kimani wa Kenya, Buffalo Soldier wa Zimbabwe na A.Y ambapo kesho wanatarajia kukutana na Rais Barack Obama.
1Baada tu ya kufika, Ay kaniambia kitu cha tofauti alichokutana nacho kwenye Ikulu hii ni kwamba jamaa wanakwenda na dress code kutokana na siku, yani imepangwa kuna mavazi ya kuvaa kutokana na siku… kwa weekend ambayo Ay na wenzake waliitembelea Ikulu mtu yeyote haruhusiwi kuvaa suti hivyo utawakuta Wafanyakazi wengine na kaptula au jeans.
Hata kina Ay wakati wanajiandaa kwenda Ikulu waliambiwa wasivae suti maana ni weekend.
2Ay anasema kingine ni kwamba Obama kila wiki anatenga siku ya kukutana na Watoto kutoka sehemu mbalimbali wanaotembelea Ikulu.
9
11
12
Read more >>

DIAMOND NA AY SASA WAUNGANA NA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA AJILI YA KILIMO, SOMA ZAIDI HAPA

Diamond na Ay wamepanda pipa kuelekea Afrika kusini na wengi wanadhani jamaa  wameenda kupiga show lakini taarifa ni kwamba jamaa wameenda kuongea na organization moja huko inayoitwa ONE na kazi ya hii organization ni kutokomeza umaskini uliokithiri na magonjwa  yanayozuilika hasa kwa nchi za Afrika.Tegemea makubwa kutoka kwenye hii safari sababu tayari kuna wasanii wengine wameshafanya makubwa hasa kwenye sekta ya kilimo.
AY-Diamond
Msanii kutoka Nigeria , D’banj ni mmoja kati ya member wa One na alitembelea wakulima wadogowadogo wa zao na cocoa nchini Ghana na kujionea inavyokua kua mkulima mdogo. D’banj aliweza kuanza shughuli ya kilimo huku akiwa hana hana namba moja ya soko la zao lake na aliweza kujifunza thamani ya kilimo.
Processed with VSCOcam with g3 preset Dbanj Ghana vibe Tanzania 3 Processed with VSCOcam with g3 preset

ENDELEA HAPA

Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger