BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA MUDA MFUPI ULIOPITA

 BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA

 ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKE
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA 

******
Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger