U-FAKE WA MASTAA WA BONGO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII: HII YA BATULI NI FUNGA MWAKA, SOMA ZAIDI HAPA



Nikitu cha kawaida kwa mastaa wetu wa hapa bongo ku -FAKE maisha yao ya kwaida na kuonyesha vitu/mambo mazuri mazuri kama....anakula bata na jamaa zake, yupo nje ya nchi,yupo home (Kama home pazuri kiaina lakini)  kwenye mitandao ya kijamii....Kwa mfano mida ya Lunch Time wengi hushare picha akikaribisha watu wakati anakula misosi kama BAGA, Chips Kuku, Mbuzi choma NK...hata sikumoja usitegemee staa wa bongo akapost anakula MIHOGO..HEHEHEHE...Turudi kwenye Ishu...

Mwanadada Batuli, Staa wa kutoka Bongo Movies ametoa kali ya mwaka na ame PROVE kuwa na kipaji cha uigizaji hata bila kuwa mbele ya DAIRECTA.... (Kwa mtazamo wangu) hii baada ya kuweka picha yake kwenye mtandao wa INSTAGRAM akiwa amelala na kuwatakia followers wake USIKU MWEMA (akiwaaminisha kuwa hapo alipondio analala hivyo)....na kesho yake akiwa palepale kitandao akaweka picha nyingine na kuwatakia ASUBUHI NJEMA (akiwaaminisha kuwa hapo ndio anaamka)

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger