Kila jua
linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya
mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye
headlines mbalimbali. Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya kibindoni,
staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msitini na msichana
wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni kama askari wa
enzi za kabla ya ukoloni.
Pia
kupitia Instagram, staa huyo amepost picha akiwa airport nchi za nje
akielekea Los Angeles, Marekani kwenye tuzo za BET, zitakazotolewa June
29.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment