SABABU ZINAZOPELEKEA KUTOKEA KWA MAUMIVU MAKALI UKENI WAKATI WA TENDO, SOMA ZAIDI HAPA


Wapenzi wa safu hii hususan kwa wanawake napenda kuwaelezea Sababu kuu inayopelekea mwanamke kusikia maumivu makali sehemu ya uke pindi akiwa anakula raha na mwenzi wake chumbani.  
Kabla sijaanza kuelezea sababu napenda ifahamike kuwa hakuna mwanaume mwenye uume wa kumuumiza mwanamke wakati wa tendo kutokana na maumbile ya mwanamke na mwanaume katika sehemu zao za siri, kwa kile usicho   kifaham nikwamba njia ya uke wa mwanamke ni Mrefu urefu wake unaweza kuwa sawa na urefu wa rula na istoshe njia ya mwanamke hutanuka sasa sidhani kama kuna uume unaweza kupita katika uke na ukamuumiza mwanamke labda kwa msichana ambae bado hajawah kufanya mapenzi (BIKRA) Kwa mara ya kwanza anaweza kuhisi maumivu makali kutokana na kutozoea kile kitendo pia mwanaume anapoingiza uume katika uke wa mwanamke ambae ni bikra moja kwa moja  anakwenda kuchana ngozi ambayo ipo kama utandu kwa mwanamke ambae ni bikra na kupelekea kupata maumivu makali kwa mwanamke huyo... TUTAENDELEA KESHO...

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger