MWIZI ATUNDIKWA KWENYE MTI KISA WIZI , ANGALIA MWENYEWE ILIVYOKUWA

 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
 Kijana huyo akiwa anapata shida  na mateso kwa kuwa alikuwa amebinya na kamba hizo mtini
 Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
 Kijana huyo akiendelea kuteseka 
 Hali inakuwa Mbaya zaidi
 Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger