skip to main |
skip to sidebar
FETTY APOST INSTGRAM VIDEO HII AKIIMBA SIKU MOJA BAADA YA KUPIGANA STUDIO NA ADAM MCHOVU
Kupitia mtandao wa INSTGARM, mwanadada Fatuma Hassan aka DJ Fetty ameweka picha yake (hii hapa chini) ambayo ukiiangalia kwamakini utaona kuwa anaonekana kama amevimba macho..sijui hii nikutokana na lile VURUMAI la jana STUDIO..au ni maswala mengine....BUT baada na muda kidogo akaweka tena VIDEO Clip akiwa anaimba na kuindikia TITLE "“One two one two..” Hapa ndio utamuona vizuri zaidi:
No comments:
Post a Comment