OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi
hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel,
Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.
Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes
kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu wakiwa wazi.
“Huyu aliyeachia hizi picha ametutibua sana sisi tuliofunga, alilenga
kutuharibia swaumu zetu, haijakaa poa sana,” ilisomeka sehemu ya maoni
ya picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment