KUTANA NA BINTI MKALI WA MCHEKESHAJI MR. BEAN...!NI SHIDAAAA AISEEE

Unapotaja jina la Mr Bean unakua umetaja jina na Mchekeshaji ana kwa lugha nyingine unasema Comedian maarufu sana Duniani!! leo tumeamua kukutanisha na Mtoto wake anayefahamika kwajina na Lily..
Kushoto ndiye mtoto wake na kulia ndiye Mkewe
 Mtoto wa Mr. Bean Lily.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger