MSANII wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amekanyaga skendo ya utapeli baada ya msanii chipukizi aliyefahamika kwa jina la
Msanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu.
kumpatia kiasi cha shilingi laki moja ili amfanyie mpango wa kujiunga Bongo Movie lakini akaingia mitini.
“Kujiunga na Bongo Movie ni shilingi laki moja ambayo nilimkabidhi na
fomu ya kujiunga akanipa nikajaza, cha ajabu mpaka sasa ananichenga.
Baadhi ya wasanii wananiambia nimeliwa,” alisema Rose.
Katika kuweka mambo sawa, Ijumaa lilimtafuta Mafufu na alipopatikana alisema msichana huyo anamjua ila hana sifa za kujiunga na umoja wao kwani anasifika kwa ufuska.
Katika kuweka mambo sawa, Ijumaa lilimtafuta Mafufu na alipopatikana alisema msichana huyo anamjua ila hana sifa za kujiunga na umoja wao kwani anasifika kwa ufuska.
“Mtu bado hajajiunga lakini ukihadithiwa mambo yake utachoka
mwenyewe, kamwe hatuwezi kupokea watu wenye tabia chafu,” alisema Mafufu
huku bila kufafanua juu ya ule mkwanja anaodaiwa kupokea.
No comments:
Post a Comment