KUMBE MASOGANGE KAKIMBILIA AFRIKA KUSINI KUKWEPA SKENDO CHAFU ZINAZOMUANDAMA, SOMA ZAIDI HAPA

Imebainika kuwa Mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda kuishi South Africa Kutokana na Skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile ya Madawa ya Kulevya Ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda kesi na kuachiwa..
 
Rafiki yake wa karibu aitwaje Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Agness Ameenda huko ili kutulia kwasababu hapa Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa Vidole kitu ambacho alikuwa akipendi kabisa...Si kweli amepata Maisha mazuri kama alivyosema....

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger