UBAKAJI WA MBASHA:F LORA MBASHA MAMBO YAZIDI KUMUENDEA KOMBO...!SOMA ZAIDI HAPA.

 Le mutuz
ANOTHER TIME BOMB IN THE WAITING HII CINEMA ILIANZA KAMA MCHEZO MCHEZO LAKINI KAMA UNAISOMA KWA MAKINI SASA IT IS SLOWLY TURNING UGLY TENA POLE POLE NA HUKU WANANCHI TUKIANGALIA KWA MACHO YETU, NA TUKISIKIA KWA MASIKIO YETU HATUJUI UKWELI WA NDANI WA TATIZO LA FLORA NA MUMEWE LAKINI KUNA NENO MOJA KATIKA ISHU YAO YA FLORA MBASHA KUWA KIMADA WA MCHUNGAJI GWAJIMA HUKU AKIWA BADO MKE HALALI WA MBASHA HALINA UBISHI JUU YA UKWELI WAKE...
USHAHIDI MWINGI WA MTAANI TAYARI UMESHATOLEWA NA GWAJIMA MWENYEWE AMESHINDWA MPAKA LEO KUKANUSHA, KAMA KINACHOSEMWA NI KWELI NA UKWELI NI KWAMBA MBASHA ANAKARIBIA KWENDA KUOZA JELA KAMA NGUZA NA WANAWE KWA SABABU AMBAZO NI TATA!!
 
Sasa haya yote yanatokea mbele ya macho yetu na masikio yetu hii jamii, sijasikia mwanaume yoyote mwenye nguvu katika jamii yetu akijitokeza kusema lolote on this ishu na sisi wanaume wengine wote tumenyamza kimyaa ila akifungwa maisha jela sasa utaona makelele wakati kumbe kama ni makelele ya dhuluma yanatakiwa kupigwa sasa, ushahidi mwingi wa mtaani unaonyesha kamba flora mbasha ndiye mchawi hapa kwa sababu pia aliwahi kumsingizia mchumba wake wa kwanza kuwa ana ukimwi, na the fact kwamba mdogo wake anayedaiwa kubakwa hapa tayari amewahi kutengeneza video ya ngono na mrisho ngassa wa yanga na ipo mitandaoni ni dalili tosha kwamba hii kesi ina utatanishi sana, sio siri flora ana nguvu ya pesa kuliko mumewe na hasa ukizingatia kwamba ana gwajima with her na nguvu ya pesa nimeiona juzi mbasha alipopelekwa rumande, now people this is another time bomb in the waiting kama kweli sisi ni wapenda haki basi wakati ni huu kumsaidia mbasha...

Ingawa binafsi naomba kusema ukweli wangu i don't like both of them the mazafantazazz i mean flora na mumewe kwa sababu nawaona ni wasanii wa ajabu sana walioishi kisanii kwa muda mrefu sana kwa kuwadanganya masikini na kuchukua hela zao za sadaka mpaka mungu alipoamua kuwafichua usanii wao hivi karibuni na this kesi hata mbasha siamini kwamba he is a real man kwa sababu angekuwa he should have find a solution loong time ago kwa sababu inaelekea walikuwa na matatizo kwa muda mrefu sana lakini mbasha hana pesa so alikuwa akitegemea pesa za flora ndio maana wamedumu muda mrefu and yes i say this kwa sababu hakuna a real man duniani anayeweza kumuona mke wake wa ndoa anaishi na gwajima lakini bado akamvumilia the mazafantazz i say no way!!

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger