Wanawake
wengi waliowazuri wa sura huwa wanapenda kuolewa na wanaume wabaya wa
sura. Hii inatokana na ukweli kwamba wanawake wenye sura nzuri hupenda
kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili kulinda uzuri wao kwani
wanaamini kuwa iwapo ataolewa na mwanaume mwenye sura nzuri, uzuri wake
hautaonekana kwa watu kwani mwanaume pia ataonekana mzuri jambo ambalo
litamupunguzia mwanamke kuonekana mzuri katika jamii.
Hii
ndio maana wanawake wengi wenye sura nzuri wanapenda kuolewa na wanaume
wenye sura mbaya. Dr. Linda Mtaalamu wa masuala ya mapenzi na uhusiano
anasema " Wanawake wengi wenye sura
nzuri wanatabia ya kutaka waonekane kuwa ni warembo, jambo ambalo
linawapelekea kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili waendelee kushine
katika jamii".
Pia
wanaume wenye sura mbaya wanapenda kuoa wanawake wenye sura nzuri ili
kulinda hishima yao kwa kupitia wake zao. Kwa hili ndugu msomaji naomba
ujaribu kufanya uchunguzi wa kina kwa kuangalia wanaume wenye sura
mbaya, utagundua kuwa wengi wao wanapenda kuoa wanawake wazuri na wengi
wao tayari wameshaoa wanawake warembo.
Je,
kwa upande wa wanawake weusi; je, wanapenda wanaume wa aina gani? Na
kwa upande wa wanaume weusi pia wanapenda wanawake wa aina gani? Pia na
wewe kama unajitambua kuwa uko hivi au vile je, unapenda sweetheart wako
aweje. Sasa tujadili.........................!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment