WANAWAKE WA NAMNA HII NI MIZIGO KATIKA SUALA LA MAPENZI

 
Leo itanibidi niseme tu hata mkinitusi manake mmezidi jamani kuwapa mizigo hawa kaka zetu alafu na wengi wao hata hawashtuki mpaka pale mambo yanapomwendea mrama, utakuta dada mzuri kweli wa sura na umbo yupo kwenye mahusiano na mkaka yaani huyo dada yeye kazi yake ni kumchuna tu jamaa mara sina vocha na hata ukimpa yeye kazi yake kukubeep apigiwe mara leo sijui 

Nimeona nguo mwenge na mengine mengi ila unakuta hakuna yeye kitu anafanya kwa huyo mwanaume ili ajione na yeye ni mtu kweli , basi hata mawazo ya jinsi ya kupata hela mpe basi , kazi yako wewe starehe tu ijumaa ikifika ndo wakwanza kupanga viwanja vya kwenda kujirusha hata hujui jamaa yako hela kapata wapi. 

Alafu ndo unakaa unajiuliza mbona siolewi? Bibie Kuelewa yahitaji kujitoa usione Vinaelea jua vimeubwa....
 

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger