HAWA NDIO MAKAHABA WA JIJINI TANGA WANAOJIUZA KWA JERO JERO TU

BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba
uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na
Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu,
utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza
miili yao nyakati za usiku kwenye baadhi ya
barabara za katikati ya mji na bustani za
kupumzikia.Wamesema hatua hiyo, itasaidia
kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelezwa...

1 comment:

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger