Showing posts with label USHAURI. Show all posts
Showing posts with label USHAURI. Show all posts

MKE WANGU HAJAWAHI NIAMBIA NIMECHOKA..JE NI KWELI AU ANANIDANGANYA?

Nimekuwa nikimpa dozi za uhakika,nimekuwa nikimpiga romance za nguvu. namfikisha hata mara nne lakini haniambii kama kachoka bado anaguna utamu tu mpaka mimi nichoke.

Nimekuwa nikiwa na tabia ya kunywa wine au wisk siku za weekend kiasi kwamba hujikuta namsugua hata masaa matatu mpaka manne yeye hajawahi sema kama kachoka, nambadilisha staili nyingi zote anaenda tu mpaka pale ambapo mimi nafika nakuamua kupumzika.muda mwingine kama jmosi humsugua kama mara nne hapo home yeye kila nikumvuta nikipiga romance analainika namsugua hasemi kama kachoka.


sasa swali linalonijia kama kila nikitaka namsugua tu je ni mwaminifu huko kazini kwake? maana kama kila baada ya masaa mawili naweza msugua inamaanisha hata nikimsugua vipi huko kazini anaweza suguliwa tena maana inaonekana hachoki.Naombeni ushauri wadau.


By Mjali Tumbo
Read more >>

USHAURI: JIMAMA LITANIUA, KILA AKITAKA MAMBO ANAMTOROKA MUME WAKE NA KUNIITA HOTELINI NIMSHUGHULIKE.


Huyu Mama Hapo kwenye Picha Anataka kuniua tu mimi kijana bado mdogo, Nilikutana naye Mlimani City Pale Game alikuwa akifanya shopping na watoto wake wadogo sasa vitu alivyonunua vilikuwa vingi nikamsaidia kuvipeleka kwenye gari lake , akanishukuru na kuniomba number yangu ya simu, sasa kuanzia hapo tukawa tunawasiliana lakini siku zilivyozidi kwenda tukajikuta tunachat mambo ya mapenzi na siku moja tukakutana nikampa dozi 3 za nguvu, sasa imekua shida maana kila week ananitafuta mara mbili nimpe mambo eti anasema mume wake hawezi mambo , kila mara huwa analipia hoteli yeye na kila kitu mpaka vinywaji mimi kazi yangu ni dozi , sasa nimejaribu kumchumguza nimengundua ni Mke wa Mwanasiasa Maarufu hapa Tanzania. Nimeingiwa na Woga nahofia maisha yangu mimi bado mdogo ndio natafuta maisha.. Naomba Ushauri ..
Read more >>

USHAURI :NIFANYEJE ILI MPENZI WANGU ANIAMINI KUHUSU MAKALIO YANGU...??

Habari za leo Admin, Mimi ni mwanamke mwenye
umri wamiaka 28, kiufupi nimejaaliwa na Muumba
kuwa na makalio makubwa, sasa tatizo langu ni
kila Boyfriend niliekuwanae anadai eti makalio
yangu yametokana na dawa za kichina kitu
ambacho sio kweli..hii kitu imekua ikinikela sana
kwani hata baadhi ya wakaka na wadada mtaani
wanasema nimetumia madawa ili kukuza makalio
yangu..sasa naomba ushauri wenu wadaui
nifanyaje ili watu waelewe na mimi niwe
huru..kwani nakosa raha kabisa…..picha yangu hii
hapa.
Read more >>

USHAURI: NDOTO ZANGU NI KUMPATA MWANAMKE BIKRA.


Kwa sasa nina miaka 28 , nimeoa na nina mtoto mmoja ambaye ni binti wa mwaka 1...

Toka nizaliwe sijabahatika kukutana na msichana bikra na wala sijawahi bikiri. Hili jambo linaniumiza sana kwa sababu wakati naona mi nilikuwa sijatumika.
Wakati mwingine yananijia mawazo ya kubaka watoto wa shule ya msingi. Nahitaji angalau nipate hata bikra moja niweze kutulia..
Kuna kipindi nilimpa laki 3 mwalimu mmoja wa shule ya msingi ili anitafutie msichana bikira, lakini haikuwezekana .
Kuna wakati hadi namfosi mke wangu alete housgeli mdogo ili tu nipate mwanya. Yani nimekuwa kama nimerukwa na akili, hadi napata hasira hadi kutaka kumlawiti mke wangu. 
Najidharau, sina raha, ninapoelekea ni kubaka kabisa
Naombeni ushauri wenu wadau.
Read more >>

NAOMBA USHAURI: MKE WANGU WA NDOA NI KIKOJOZI, NIFANYAJE

Dear Readers,
The situation is so embarrassing that she wears diapers to sleep. She blames it on the 3 kids we have but I do not believe this. True she was not like this when we got married, the first time she wet the bed was the week we found out she was pregnant with our first child.

I can not even tell my family because they are not so fond of her and asking them for help will only make them hate her. I have advised her to see the Doctor but she says as long as she is able to wake up two times at night she will be fine. It is affecting our sexual life because I only see her as a bed wetter. I love her, please help me!
Read more >>

NIMELIWA UTAMU NA KAKA WA MUME WA NGU, JE NIMUELEZE MUME WANGU?

I had séx with my brother-in-law by mistake. In the dark I thought he was my husband. 

I’m 29, my husband’s 31. His parents held a family party for his niece’s 18th birthday last weekend. 

Everyone was there, including my husband’s brother who was home from working away in Saudi. He’s 36. 

We all get on well and there was plenty of alcohol and food. It was a nice party and we carried on drinking and dancing into the small hours. 

My husband went up to bed before me and said he’d be waiting for me. I followed him up 20 minutes later. I got into bed feeling frisky and we ended up having séx. 

I woke up a couple of hours later and sat up to get a drink of water. I pulled back the curtain to let some light in through the window from the street lamp right outside the bedroom. 

I looked round and got the shock of my life when I realised I was in bed with the wrong man. The man beside me was my husband’s brother. I’d gone into the wrong bedroom and I guess my brother-in-law thought it was his lucky day. We had all had a lot to drink. 

I ran to the right bedroom and crawled into bed with my husband who was fast asleep. Then I realised I’d left my underwear in the other room, so I sneaked back. 

My brother-in-law was stirring so I hissed that we must keep quiet about what had happened. He just said, “Whatever.” 

He’s flown back to Saudi now but I don’t know whether to admit everything to my husband. If this comes out I’ll lose a man I love more than anything and cause family ructions
Read more >>

NIMEMFUMA HOUSEGIRL WANGU AKIMNYONYESHA MWANANGU


I have been so disturbed since I saw my house help breastfeeding my one year old.

I have sent the maid away but is there something I need to do for my child?

Should I take the child to the doctor?
Read more >>

"MIGUNO YA KIMAPENZI CHUMBA CHA JIRANI INANIHAMASISHA KIMAPENZI" NIFANYAJE

Mimi ni Kijana wa Miaka 25, nimeanza kazi hivi karibuni ikanilazimu kutoka nyumbani na kupanga maeneo ya kijitonyama ...Sasa hiyo nyumba niliyopanga kuna wapangaji wengine mmoja ni mwanamke ambae dirisha lake lipo karibu na chumba changu...sasa kila usiku ninapata shida kwa kelele za huyo dada akiwa anafanye mapenzi , Huwa analia kwa nguvu sana kwa mihemo ya kutia hamasa kama anafika kileleni vile tena huchukua muda mrefu kulia ..na hulia kwa nguvu bila kujali kuna majirani wanasikia...Sasa sometimes inanifanya mpaka napandwa na mzuka natamani na mimi nimtongoze ...kwani nikisikia hizo sauti zake huku chini mambo yanaharibika kabisa naishia kujichua huku nikimfikiria...Je nifanyaje, Nihame au na mie nimtokee nipate utamu huo?
Read more >>

NIKIINGIZA KICHWA TU ANALIA

Naombeni unishauri kwasababu mpenzi wangu kabla ya tendo huwa namuandaa vya kutosha namyonya kila kona siachi sehemu mpaka anakataa mwenyewe lakini kinacho nishangaza nikianza kuingiza tu huwa analalamika anaumia mpaka analia
sasa mie nashindwa kumuelewa. tatizo ni nini?"
Hello Mick, asante kwa ushirikiano. Kuna machache yanayoweza kusababisha mpenzi wako kulia na la kwanza ni hili, huenda wewe ndio unaamini kuwa unamuandaa vya kutosha labda kwasababu wewe unakuwa tayari kama sio kuwa umechoka kwa vile unazingatia maeneo unayoyajua wewe na sio yale "yanayoibua" hisia za mpenzi wako.

Pili, kama baadhi ya wachangiaji walivyogusia, inawezekana maumbile yako ni makubwa kwa mpenzi wako na hajayazoea (inachukua muda kidogo mpaka aizoee).

Tatu, Kunauwezekano kuwa mnafanya ngono mara chache, kwasababu mwanamke akikaa muda mrefu bila kufanya ngono uke wake "husahau" na siku akifanya ngono hupatwa na maumivu mwanzoni lakini baada ya muda kidogo huku wewe mwanaume ukifanya taratibu na kumpa matumani kuwa unafanya polepole huku unamfanya ki-passionate maumivu huisha na kila kitu kinakuwa safiii mpaka mwisho.

Nne, huenda mnafanya kwa wizi (kama bado ni mwanafunzi, anaishai kwao na mnafanya ngono kwa washkaji n.k), hamtumii kinga (hofu yakushika mimba/magonjwa ya zinaa), sumu ya utamu wa ngono kwa mwanamke ni kuifanya ukiwa na hofu, hakika hutoweza kuwa tayari (kuandalika).

Tano, isije kuwa ukihisi ute ukeni wewe unadhani yuko tayari. Mwanamke kuwa na ute ukeni sio dalili kuwa unawez akuingiza, unatakiwa kuendelea mpaka uhisi ule ute unakuwa kama unadondoka hivi au kama una haraka sana basi tumia kidole chako kuingiza nakumchezea mpaka uone anatoa mihemo ya "give 2 me" alafu ndio ingiza uume na wakati unaendelea na tendo hakikisha unanyonya chuchu zake, kula denda, tafuta shingo, ulimi sikioni, kumshika hapa na pale ili kuongeza raha na kuufanya mwili wake usisahau kile kinachoendelea.

Na mwisho kabisa, aliyemtoa bikira hakufanikiwa kuingia ndani hivyo basi misuli yake ya uke haiko tayari kupokea kiungo chako, kama nilivyosema tena hapo awali itachukua muda kiasi na mnachotakiwa kufanya ni kufanya Ngono mara nyingi zaidi (kama inawezekana) kila mnapokutana. Mfano kama mzunguuko wa kwanza anadai anaumia, jitahidi kufanya ki-passionate na hakikisha siku hiyo mnafanya hata mara tatu nakurudia tena siku nyingine in the same week so mtakuwa mmefanya mara sita ndani ya wiki moja......
Read more >>

NAOMBENI USHAURI WENU, JAMANI NITOKE NJE YA NDOA.??

Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!

Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai hakuna tatizo! Najiuliza sana hivi kutoka nje ya ndoa kutanosaidia nini? Nitachinwa pesa bure na ndo matatizo yataongezeka lakini pia kiimani hairuhusiwi nami naogopa kukutwa katika dhambi na Mungu wangu!

Nimesali sana lakini kama hakuna badiliko lolote! Nimuache? Yaani kila kitu tabu tupu! Wasichana nawaogopa mno nahisi wataniongeza machungu je, nitamfute mmama wa wastani kama miaka 34 ila awe mzuri? mi nina 25. Kwakweli sijitambui niko njia panda!

Nilikuwa mwajiriwa wa kampuni fulani na nilikuwa nikilipwa laki 5 kwa mwezi sasa nina miezi 2 nkmeacha kazi sababu ya matatizo ya ndoa yangu!

Sijielewi nahisi naelekea kufa ningepata mwanamke wa umri huo na anaishi tofauti na.mji wangu na akanipenda ningeenda kukaa kwake hata kwa miezi 3.
Nahisi maisha yangu yanaharibika sasa,

Nina uchungu sana usiku huu nilikuwa safari nimerudi na zawadi zimepokelewa na kutupwa sitting rum, ninahamu nimemsogelea kitandani kanipiga pepisi jichoni nomeumia sana maana tangu tuoane sijawahi ifurahia ndoa!

Hapa najiuliza nifanyeje napanga nitoke nikalale guest lakini sina hata wakunifariji natoka naenda guest hata nikifika nikaamua kujitoa duniani inatosha.

Kuna wanawake wazuri sana, wapoleee sauti za upole akikukosea kidogo tu utasikia samahani baba yangu, nakupenda haikuwa nia yangu, jaman namimi si nipate mmoja wa hivi?
Read more >>

MPENZI WANGU ANAPENDA DOG STAILI, ILA MI INANIUMIZAGA TUMBO...USHAURI JAMANI



Mpenzi wangu huwa anapenda sana staili hii ya kuinama ila, mimi nikiwa kwenye tendo tumbo huuma yani nasikia kama kitu kinafika tumboni pia najaa gesi sana tumboni. Naombeni ushauri..!!
Read more >>

MKE WANGU AMEZIDISHA MICHEPUKO, NIFANYAJE

Wakubwa habari za mchana,kama nilivyojieleza hapo juu,ni kwamba nilibahatika kuoa miaka 10 iliyopita iliyopita,tulipata sakrament ya ndoa takatifu tarehe 7/5/2011, katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto wawili. Sasa kilichonifanya nije hapa jukwaani ni taarifa nilizozipata toka kwa jirani yangu ambaye amenithibitishia kuwa mke wangu anatembea na mtu ambae pia ni jirani yetu kabisa. Mke wangu huwa anashinda nyumbani akijishughulisha biashara ya kiduka tulichokifungua karibia mwaka sasa. Pia mimi huwa nashinda kibaruani kwangu ambapo mara nyingi huwa nachelewa kurudi nyumbani kutokana na kabiashara kangu kanakonipatia riziki.
Huyu jirani yangu kanijulisha huwa wanatoka majira ya saa 1 jioni na kurudi sa 2:30 jioni kabla mimi sijarudi. Baada ya kupata tarifa hizi nilijaribu kufanya uchunguzi na nimeanza kuona kuna ukweli juu ya jambo hili.juzi ilipofika saa 1:30 jioni nilimpigia simu kumuulizia jambo fulani nikasikia anaongea taratibu tofauti na siku nyingine,nikamuuliza umeshafunga duka? Akanijibu ndio,nikamuuliza mbona mapema akasema kuna mkanda nimeupenda nauangalia....
Nikakata simu nikampigia yule jirani kumuuliza kama mke wangu yupo nyumbani akasema hayupo na ametoka na jamaa kama kawaida yake,kama huamini uje uone.nilitamani kwenda lakini nilishindwa kujua ni uamuzi gani nichukue kwa sababu,kwanza sikujua wamekwenda guest gani,huyo jamaa ana usafiri hivyo
wana uwezekano wa kwenda nje ya mji kidogo.

Nilijikaza sikumuuliza wala kumuonesha dalili zozote za kufahamu mambo hayo machafu anayoyafanya mke wangu, hivyo naombeni ushauri wenu pindi nikiwafumania au kuwahi kurudi home na kumkosa mke wangu wakati amenijulisha yupo home..naombeni ushauri wenu ni uamuzi gani naweza kuchukua ukawa sahihi.
Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger